Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X4)KIMARA KOROGWE DK 10 -15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 
IPO KIMARA KOROGWE 
KODI NI 200X4 
SIFA ZAKE 
=========
CHUMBA KIKUBWA 
SEBULE KUBWA 
JIKO ZURI 
CHOO NDAN 
TILLES 
GYPSUM 
DRISHA SHATA 
LUKU YAKE 
MAJI YAPO 
DAWASA 
YANAFLOW NDANI 
NDAN YA FENS 
YA WAYA
PARKING IPO 
BRBR SAFI 
GARI INAFIKA VIZUR 
KUPELEKWA SITE ELF 15 
CONTACT
0716223412
0716223412
0618976024




















