Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 200,000 x 4 ) KIMARA MWISHO APARTMENT MPYAA YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI MOJA
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ BUKU
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO ( OPEN KITCHEN )
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747