Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 15/06/2025
#SEBULE KUBWA ✓
#MASTER KUBWA ✓
#JIKO KUBWA LENYE KABATI ZA KISASA✓
#ICE CHUMBANI✓
#MAFENI KOTE✓
#LUKU INAJITEGEMEA ✓
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI✓
#NYUMBA ZIKO NDANI YA FENSI PARKING SAFI✓
#LOCATION KIMARA KOROGWE NJIA YA ZEGE KILUNGURE KLM 1.8 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI/DALADALA/500TU UKISHUKA DK 3 UPO GETINI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA MWEZI MMOJA NI WA TAAZARI YA KULINDA NYUMBA
#0715949085
#0782838336
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA