Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA NA NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA 200,000/= X 6
π₯ APARTMENT HII INASIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 4 KWENYE ENEO MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 200,000/= X 6
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BODABODA SHILINGI ELFU MOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.