Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA KUBWA YA KIBACHELA
MASTER BEDROOM & JIKO
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE
💥KODI YAKE 200K X6
*SIFA ZAKE NI
⚡ *MASTER BEDROOM KUBWA*
⚡ *JIKO SAFI
*⚡HAKUNA SEBULE
⚡ *TILES
⚡ *GIPSAM
⚡ *ALMINIUM
⚡ *MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ *MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ *UMEME METER YAKE
⚡ *PARKING KUBWA
*⚡GARDEN SAFI
🏡 *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI, BARA BARA YA ZEGE
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
*BAJAJI TSH500
*BODA TSH1000
*NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
HAPA ANATAKIWA MPANGAJI BACHELOR, NA AWE MKRISTO SIMU 0659336751 WSP 0786085637