Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(150,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
📌KIMARA TEMBONI(Dsm) 🇹🇿
Umbali:2.Km BAJAJI 1000/= BODABODA 1500 DALADALA 500
MUUNDO ÷
✔️Chumba Kikubwa
✔️Sebule Kubwa
✔️Choo ndani
✔️Jiko zuri
✔️Feni Ya Juu
HUDUMA
✔️Maji (yapo Dawasa)
✔️LUKU YAKE
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA NDANI YA FENSI
KODI; 150,000/=TZS. Kwa mwezi × 6
Malipo ni miezi 6 Mwezi 1 wa dalali
________________________
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300