Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#STORE
#PARKING KUBWA
#GARDEN NZURI 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#IPO NDANI YA FENSI NZURI YENYE USALAMA WA KUTOSHA 
BEI NI 250,000/= X 6
________________________________________________________
๐ซ๐ซ APARTMENT HII MPYA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
________________________________________________________
 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================




















