Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 300,000X6 APARTMENT CLASSIC FOR RENT
PIGA SIM 0677445508
location Kimara Mwisho ipo umbal dk 7 Kwa mguu,
Muondo
#Chumba master
#Sebule
#Jiko la kisasa
#Public toilet
#Umeme na maji unajitegemea
#Fens get
#Pevang block
#Parking ipo
#Cc tv camera
#Wi-Fi Ipo
#Inayo pangishwa ipo flow ya kwanza,
Angalizo nyumba inakua wazi tarh 10 / 11 Kuona kulipia ruksa
Service charge 15 elfu
Pg simu



















