Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#MASTER NZURI SANA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#LUKU SUBMITER
#MAJI SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA MLANGONI
Kodi 150,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.