Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
KODI 230,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO NA PUBLIC TOILET YA NNJE
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI NA MITA YA MAJI NI YAKO
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
UMBALI NI DAKIKA 3 TU
KUTEMBEA KWA MIGUU
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MJINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.20.000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027



















