Nyumba/Apartment inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


#Repost dalali_mkuu kinondoni
...
Apartment Kali Inapangishwa
Mahali: Sinza Darajani
Bei: 200,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Nyumba Lami
☑️Chumba Sebule Choo
☑️Fensi & No Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalal mkuu kinondoni
Call & WhatsApp: 0653669171
Call only 0785999641