Nyumba/Apartment inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA (APARTMENT ZIPO 4)
LOCATION: KINYEREZI MWISHO, DK 5 KWA MIGUU TOKA STEND.
KODI: 200,000×4 MALIPO YA DALALI NI MWEZI 1.
APARTMENTS NI NZURI. NDANI YA FENCE INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO ZURI LA MAKABATI, PUBLIC TOILET MAFENI JUU UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA MAJI YANAFLOO NDANI RESERVE TANK IPO, PARKING, PAVING BLOCKS. ZINAWEKWA USALAMA100 MAZINGIRA TULIVU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.