Nyumba/Apartment inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VIWILI  _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT#
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-  MADALE MWISHO (DK 3 toka lami)
———————————————————
KODI  TSHS  LAKI 600,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 3
————-
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA 
______
YENYE:
Vyumba viwli vya kulala,  #Master #Sebule  # Jiko, # Choo/#Bafu vya ndani public 
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows 
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
Garden 
Nione 
dalalimbezibeach_salasala 
0692406639
Call/ WhatsApp 
______
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙏




















