Nyumba/Apartment inapangishwa Magengeni, Mtwara







Apartments zinapangishwa, zipo Boko Magengeni
Vyumba viwsana vyote ni master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 500,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
Piga simu O745010009 au 0742707023
Karibuni sana