Nyumba/Apartment inapangishwa Mandera, Pwani







#APARTMENT INAPANGISHWA
#BEI NI 270,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#ZIPO APARTMENT 5 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#BEI NI 270,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII IPO #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU
KUTOKA MANDERA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.2
#LUKU INAJITEGEMEA & MAJI BILL IKIJA MNAGAWANA NDANI YA FENSI PARKING IPO
#USAFIRI NI BAJAJI 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 5 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI
0677445508



















