Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


STUDIO APARTMENT, TSHS.350,000/MWEZI,
MBEZI MAKONDE.
Hapa ilikuwa ni Hotel.
Sehemu ya Sebule ni kubwa na kuna Jiko pia.
Tiles,Gypsum na Dirisha za Vioo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu
___________mthw
Wasiliana nami mapema Ukihitaji kukagua.