Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 250,000 Γ 6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#PUBLIC TOILET NZURI π»
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENCE MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA SANA π
#GOOD ENVIRONMENT π
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 TUU UPO KWENYE NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp