Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







100,000 x 3... MBEZI KWA MSUGURI 2KM BAJAJI 700
Apartment nzuri sana
Inapangishwa MSUGURI
===
✔️CHUMBA
✔️SEBULE
✔️CHOO KIPO NDANI KWENYE KORIDO HUTOKI NJE
✔️HAINA FENCE USALAMA KAMA LUGALO
Bei:100,000 kwa mwezi x 3
===
Umeme unajitegemea
Maji bill
====
Umbali KM 2 Kutoka kituoni Usafiri bajaji zipo 700
Boda 1000
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Call me
0716223412
0683597453