Nyumba/Apartment inapangishwa Nzuguni, Dodoma


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA ✅️
____________________
📍MAHALI- NZUGUNI
____________________
MUUNDO
—MASTER +SEBULE+OPEN KITCHEN
—Pazuri sana
—PAKUBWAA SANAA
_________________________
HUDUMA
—Ipo ndani ya fence
—umeme na maji vipo
—Karibu na Barabara
—pazur sana kama unavoona
____________________________
💰BEI— 150,000@month
-MUDA WA MALIPO MIEZ 04+
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja atalipa mteja
Gharama za kwenda site 10k
Tuwasiliane 0657122976 calls/tsp
————————————-----------