Nyumba/Apartment inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO. MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA, HADI BOMBA LA NNJE UNAJITEGEMEA.
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI (DAWASA) TENKI LIPO.
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 6.
MALIPO YA DALALI 150000, SERVICE CHARGE 10000 KAMA NYUMBA HAILIPIWI HAPO HAPO.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
CONTACT: 0760053111
0614130017