Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali: Sinza
Bei: 600,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 3 + 1 (Deposit)
☑️Master Sebule Jiko
☑️Public Toilet
☑️Fensi & Parking
☑️Umeme Mita Yako
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz