Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


NEW BRAND APARTMENTS FOR RENT
TABATA KINYEREZI KWA MPEMBA.
APARTMENTS MPYAA!!
BEI 220,000/.
CHUMBA MASTER
SEBULE JIKO
MAJI UMEME UNAJITEGEMEA
FENI JUU
HEATHER WATER
PAVING BLOCKS
ZINAWEKWA
MAWASILIANO;
0654154140/Whatsapp/calls
NYUMBA IPO DK 0, KUTOKA KWENYE LAMI.
SERVICE CHARGE 20000
MWEZI 1 KUNA MALIPO YA DALALI BAADA KULIPIA NYUMBA