Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Kali Executive
Location Tabata Relini Mwananchi Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni Boda 1000
Kodi 300000×6: Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Fully A/C
Fany Juu
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565



















