Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga take Nyumba
Lami mpaka home
Kodi 300000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
Chumba na Sebule
Jiko
Choo ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
survey charge elfu 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
O677370515


















