Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Dakika 15 mpaka 20 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road. Boda 1000 Bajaji 500
Kodi 250000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Chumba na Sebule
Jiko
Choo ndani
Luku yake
Slide window
Tiles
Gypsum
Parking space fancy
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602



















