Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







KODI NI 140,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
LOCATION:UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
SITA ZAKE
#########
CHUMBA KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
CHOO NJE CHA KWAKO MWENYEWE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS ILA SIO YA KULAZA GARI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT. 0789049684



















