Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent za Kisasa nzuri sana
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga teke Gate
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Hii Master Bedroom Unaingia Gate Peke yako
Ni Master Bedroom Kubwa
Jiko Kubwa
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment