Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 8 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona
Sifa zake
=========
Ni Master Bedroom Kubwa
Jiko Kubwa
Luku
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565