Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT HOUSE FOR RENT
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE
• CHUMBA KIKUBWA +JIKO+CHOO CHAKE
• MASTER BEDROOM KUBWA NA JIKO
• PARKING YA GARI YA KUTOSHA
• ENEO TULIVU , SAFI NA HAKUNA USWAHILI
• UMEME NA MAJI YA DAWASA YAPO
• KODI LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI (150,000) KWA MWEZI. DALALI MWEZI 1 SERVICE CHARGE 20 KUONA NYUMBA



















