Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







KODI NI 250,000/= KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
.
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KUPITIA KIBANGU
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
.
INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
.
UMBALI KM 2 KUTOKA UBUNGO RIVER SIDE USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
.
Service charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.