Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
đź’§Location :: GOBA KIZNUDI UNAWEZA KUPITIA MBEZI BEACH AFRICANA BAJAJI 700
đź’§Bei :: 280,000Tsh Miezi 5
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Jiko lenye makabati
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652251725
Call /Whatsapp