Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA ZINAPANGISHWA HII SIYO YA KUACHA WATEJA WANGUU
(ZIPO TANO KWENYE COMPOUND MMOJA)
LOCATION:GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE(TABATA)
BAJAJI:1000
KODI:200,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
👉CHUMBA KIMOJA MASTER
👉SEBURE KUBWA
👉JIKO SAFIII
👉TOILET PUBLIC
👉UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
👉FENCE
👉PARKING KUBWA
👉ELECTRONIC FENCE
KWA MAWASILIANO ZAIDII
0782428327