Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: GOBA LASTANZA
Njia Ya KINZUDI Maghofani
A. 400,000 × 6
✍️Sebule Kubwa ✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Kitchen With Cabinets
B. 250,000 × 6
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Kila Apartment Inajitegemea Meter Ya MAJI Na UMEME ✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS ✍️Full A/c ✍️Heater Ya Maji Moto
✍️Fenced &Parking Space Available 🚘
Zitakuwa Tayari Kuingia 01/12/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















