Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-  GOBA NJIA YA MADALE 
______________________
 KODI TSHS LAKI  500,000/=KWA MWEZI
———
MALIPO YA MIEZI 6
________________
NEW APART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIBACHELA 
_______
YENYE:
Chumba kimoja tu cha kulala # Sebule 
#Choo na Jiko  Lenye makabati
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks Ac
FencedApart 
Nione 
dalalimbezibeach_salasala 
Call/WhatsApp
0692406639



















