Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location darajani
<> nyumba ina chumba kimoja Master sebule na jiko mpya
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅apartment mbili tu
✅nyumba ina mazingira safi
✅nyumba mpya na ya kisasa
<> asking price tsh,, 300k per month
mwezi moja wa dalali
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837