Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ #APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE โ KARIBU NA BARABARA KUU
๐ Kimara Korogwe
๐ Umbali wa dakika 3 tu kutoka stand ya mwendo kasi ya Kimara Korogwe, karibu sana na barabara kuu.
#SIFA ZA NYUMBA
๐ธ Chumba kimoja (Master)
๐ธ Sebule
๐ธ Jiko
๐ธ Umeme & Maji (Inajitegemea)
๐ธ Fensi & Parking kubwa
๐ Nyumba ipo wazi. Mpangaji wa awali ameondoka bila kurejesha funguo; hivyo mteja anaruhusiwa kuja kuona mazingira na kufanya malipo. Funguo zitapatikana jioni.
Gharama
๐น Kodi Tsh 300,000/= ร 6 (Miezi Sita)
๐น Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
๐น Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu๐
#0740747383
๐ & Whatsapp
us๐
Karibu Sana Mteja๐



















