Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







New Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 Kutoka Kituoni Main Road 🚶🚶
✅️SEBULE KUBWA
✅️CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER BEDROOM
✅️JIKO ZURI/OPEN KITCHEN
✅️PUBLIC TOILET YA WAGENI 🚻
✅️HEATER
✅️FULL A/c
-Apartment Zipo Kwenye Fensi
-Parking Space Available 🚘
-Apartment Inajitegemea Umeme Na Maji Dawasa Yanaflow Ndani 24HRS
Price: 400,000
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp