Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿#NEW APARTMENT INAPANGISHWA#
📍Eneo: Kimara Korogwe
🕗Umbali: 1km kutoka stand ya mwendo kasi usafili bajaji 500 ukishuka dakika 2 upo ndani boda boda 1000 mpaka getini
#SIFA ZAKE
🌲Chumba kimoja Master
🌲Sebule
🌲Jiko nzuri
🌲Public Toilet ya ndani
🌲Umeme & Maji - Inajitegemea
🌲Maji yanapatikana ndani masaa 24
🌲Fensi & Packing kubwa sana
#GHARAMA
🌲Kodi: Tsh 300,000/= x 6 (miezi sita)
🌲Malipo ya Dalali: Tsh 300,000/=
🌲Service Charge: Tsh 20,000/=
_______________
#Piga_simu👇
0
#.&Whatsapp📞
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja 😊
0713661530_0783661530



















