Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA NA ZIPO ZA AINA 2 TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#MASTER BEDROOM KUBWA TUU
❌HAKUNA SEBULE
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA TUU CHA KULALA CHENYE CHOO NDANI
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 250,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
###0655256419