Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA 
โโโโโ
๐Kimara korogwe 
๐umbali kutoka stand ya mwendo kasi dk 12 -15 usafili boda 1000 mpaka getini kwako 
๐Hii inakuwa wazi Tar 05/08/2025 kuona na kufanya malipo ruksa endapo mpangaji atakuwepo 
#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja Master
๐นSebule
๐นJiko 
๐น Dining 
๐นUmeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
๐นFenced Car Parking Kubwa 
๐hela ya tahadhali mwezi mmoja 
๐ถKodi Tsh 250, 000/=ร6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
๐ถService Charge Tsh 15, 000/=
______________
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347




















