Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road Au Unaweza Ukapitia UBUNGO EXTERNAL
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
PRICE: 250,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Umeme Na Maji Meter Yako
✍️Yanaflow Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fenced &Parking Kubwa 🚘
✍️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















