Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Unaweza Kupitia UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road/Mandela Road
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500, Boda 1000
Price: 370,000 × 4/5/6
✅️Sebule Kubwa
✅️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✅️Kitchen With Cabinet
✅️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✅️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Feni Sebuleni & Chumbani
✅️Full Security 24HRS
✅️Parking Space Available 🚘
✅️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp