Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Nyumba ipo Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 - 7 Kutoka Kituoni
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE KUBWA
• CHUMBA KIMOJA CHA KULALA KIKUBWA
• JIKO/OPEN KITCHEN
• PUBLIC TOILET YA WAGENI NJE
• RESERVED TANK
• GARDEN
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
0715949085
0782938336