Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






(200,000X6)KIMARA BUCHA DK 4 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BUCHA
DK 4 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 200,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
UMEME LUKU NI SUBMETER
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI PARKING BADO GATE
ZINGATIO:
ITAKUWA WAZI TAREHE 25/05
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453