Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA JIKO (150k)
#ππ€πππ©ππ€π£: KIMARA MWISHO
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 12 Kutoka Main Road
ππππ πππ π
============
β’ Chumba kimoja Kikubwa Master Bedroom
β’ Public Toilet
β’ Jiko lake Ndani
Apartment zipo Kwenye Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
ππ€ππ π π¬π ππ¬ππ―π π£π Tsh. 150,000/- Malipo Miezi 6
πΌπ£πππ‘ππ―π€
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
πΏππ‘ππ‘π πππͺπ£ππ€
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp