Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Bucha
๐Dakika 6 Kutembea Toka Morogoro Main Road.
#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja Master
๐นSebule
๐นKibalaza
๐นUmeme Luku watatu & Maji yanaflow ndani
๐นHaina fensi, lakini usalama ni mkubwa
๐ถKodi Tsh 200,000/=ร6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 200,000/=
๐ถService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐