Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA
IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
KODI 250,000 × 6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
📌 HAKUNA JIKO
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE KUBWA 🚘
#ELECTRIC FENCE
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA APARTMENT HII NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp