Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 4 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
SIFA ZAKE -
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Public toilet nje
Tails
Gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Submiter yako
Rezev Simtank ( Maji Dawasa )
Full paving block
Ndani ya fensi parking space kubwa.
------
Kodi ni laki 200,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000.
###0655256419