Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 3 Kwenye Fence
Location: KIMARA MWISHO
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Barabara ILIYOWEKWA LAMI
Distance: KM 2 Kutoka Mwendokasi
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
PRICE: 250,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Outside 🚻
Inajitegemea UMEME Na MAJI
Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
Reserve TANKS
Parking IPO KUBWA 🚗
Full Paving Blocks 🚫
Good Environment 💥
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp