Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA TEMBONI
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja nimast Sebule kubwa sana na jiko zuri Nyumba haipo kwenye fence ila Mazingira mazuri sana
BEI YA PANGO NI 250,000 X 6
NYUMBA NI MPYA MPYA
UKILIPA UTAPEWA SIKU 5
KUINGIA WAHI UCHUKUE NYUMBA
USAFIRI BAJAJI ZIPO 700
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2
BODABODA SH 1000
HADI MLANGONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL
CALL
☆☆☆☆☆☆0659244543